ADEBAYOR AJIPOZA NA PENZI LA MREMBO WA BBA

Bofya Hapa

MAPENZI hayafichiki! Ha­timaye mambo y a m e ­jidhihirisha kuwa mwanasoka Mto­go, Emmanuel Adebayor, am­baye anai­chezea Klabu ya İstanbul Başakşehir ya nchini Utu­ruki, anatoka kimapenzi na mwanadada mrembo mshindi wa Big Brother Afri­ca 2013, Dillish Math­ews. Emmanuel Adebayor. Wawili hao wame­kuwa wakitoka kwa siri kwa muda mrefu, lakini hivi karibuni walijikuta wakitoa siri bila kujua. Dillish alituma picha kwenye mitandaoakidai ana­kwenda Uturuki, lakini kwa bahati mbaya kesho yake Adebayor naye akatuma picha ikionyesha miguu yao ikiwa karibu, hatua iliyo­fanya watu ku­gundua penzi hilo lililokuwa linahis i wa kwa muda m r e f u , kwa kuwa walikuwa wameona viatu vya m r e m b o huyo kabla. Adebayor ana mtoto mmoja wa kike, wakati mpenzi wake Dillish inafahamika hana mtoto kwa sasa.