ALI KIBA NA OMMY DIMPOZ WAZUA GUMZO MITANDAO YA BONGO,MUONEKANO WAO TEAM ZARUSHA VIJEMBE

Bofya Hapa

Baada ya Ben Pol kuanza mwaka 2018 kwa kuja na style mpya ya nywele ya kuzipaka rangi (breach) – Alikiba na Ommy Dimpoz na wao wameamua kuja na style kama hiyo. Wasanii hao ambao ameonekana kwenye picha tofauti tofauti wakiwa na bosi wao Seven Mosha, wameonekana katika muonekana mpya wa nywele zao ambao Kiba amezipaka nywele zake rangi nyekundu wakati Dimpoz akipaka rangi ya njano. Hata hivyo Disemba 30 ya mwaka 2016, Dimpoz alikuja na style kama hiyo ya nywele ya kuweka breach.