ANGALI MAAJABU YA ALBUM YA DIAMOND PLATINUMZ,A BOY FROM TANDALE YATIKISA HUKU

Bofya Hapa

Album ya mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, inayojulikana kwa jina la ‘A Boy From Tandale’ inaendelea kufanya vizuri katika anga za kimataifa kwa kushika nafasi za juu katika chati za Album katika nchi mbalimbali ikiwemo Malaysia, Kenya n.k.