ANGALIA DIAMOND PLATINUMZ AZISHUKIA MEDIA ZINAZOMBANIA,AWAPA MAKAVU LIVE,LEO NDIO LEO A BOY FROM TANDALE KENYA

Bofya Hapa

Suzette amemfuata Diamond Platnumz Nairobi, Kenya alikoenda kufanya uzinduzi wa album yake, A BOY FROM TANDALE aliyezungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na nyimbo alizoweka ndani yake, collabo na wasanii wakiwemo Ne-Yo,Rick Ross na Omarion.

Amezungumzia uwekezaji wake kwenye redio na TV (Wasafi TV/FM), kubaniwa kwa wasanii wa WCB na mambo mengine kibao