ANGALIA KAULI YA KWANZA YA NABII OLIVIA,NI YULE ALIYEMWAMBIA MUUMINI PIGA KELELE,AOMBA RADHI

Bofya Hapa

Wikiendi iliyopita kulisambaa video kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha mtumishi wa Mungu, Nabii Olivia wa Kanisa la Repohim Ministry Sinza, Dar es salaam akimnong’oneza mmoja wa waumini wake apige kelele, video ambayo watu wengi walimchukulia Nabii huyo kama ni mtumishi wa Mungu muongo anayehadaa watu.

Sasa imemtafuta Nabii Olivia kuzungumzia video hiyo iliyosambaa na amekiri wazi kuwa ni yeye na amewaomba radhi Watanzania wote waliochukizwa na kitendo hicho. Mtazame hapa chini