ANGALIA PICHA MASTAA WALIOJITOKEZA TUZO ZA SOUNDCITY MVG LAGOS

Bofya Hapa

Usiku wa kuamkia leo Afrika imeendelea kusheherekea mafanikio ya muziki wake kwa ugawaji wa tuzo za muzuki za Soundcity MVP Awards 2017 zilizofanyika nchini Nigeria, katika ukumbi wa Eko Convention Centre ambapo mastaa kadhaa waliudhulia shughuli hiyo. Kubwa zaidi ni pale walipoamua kutokelezea ki-fashion zaidi.

Hizi ni baadhi ya picha za mastaa hao walivyotokelezea: