ANGALIA RAIS MAGUFULI AKIZINDUA RELI YA STANDARD GAUGE, DODOMA

Bofya Hapa

Rais Dkt John Pome Magufuli leo anatarajia kuweka jiwe la Msingi sehemu ya pili ya Ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge ) kuanzia Morogoro hadi Makutopora mkoani Dodoma.Sherehe hizo zinafanyika eneo le Ihumwa mkoani humo,ambapo tukio hilo litarushwa LIVe hewani kupitia Redio na Televisheni.