ANGALIA RAIS WA UTURUKI AUDHURIA HARUSI YA ARDA TURAN

Bofya Hapa

Mchezaji staa wa soka kutoka Uturuki alietoka katika timu ya Barcelona na kuhamia timu ya Başakşehir ya Uturuki Arda Turan amefunga ndoa na Aslihan Doğan.

Mchezaji huyo amepost picha katika mitandao ya kijamii akionyesha jinsi harusi yake ilivyokuwa
Rais wa Uturuki Erdoğan alihudhuria pia harusi hiyo ilioandaliwa na kuwatakia maisha mema. Arda Turan ametoa shukrani kwa watu wote waliomtakia ndoa njema.