BARNABA KUWEKA MAMBO HADHARANI YA SHILOLE

Bofya Hapa

          Mwanamuziki Barnaba Classic kwenye the Play List ameweka wazi juu ya mahusiano yake na Mwanamuziki mwenzie Shishi baby, kwa mara ya kwanza.

 

Barnaba amesema kuwa aliwahi kuwa na mahusiano na staa huyo miaka sita imepita kutoka sasa, hajawahi kusema swala hilo popote, kwa mara ya kwanza ameweka wazi kuwa walishawahi kuwa wapenzi wa dhati. Pia, Barnaba amesema yeye ndiye aliyekiona kipaji cha Shilole na kumpa nafasi ya kuingia kwenye muziki wa kizazi kipya.