BREAKING : ANAGALIA BOSI WA BANK YA BARODA AFARIKI AKIAGA WAFANYAKAZI!

Bofya Hapa

BOSI wa Benki ya Baroda, Shri Praveen Nayar, alianguka na kufa Januari 31, mwaka huu, wakati akitoa neno la pongezi kwa wafanyakazi wenzake, ndugu zake na marafiki zake. Tukio hilo la kuanguka na kufariki kwake lililotokea katika chumba cha bodi ya wakurugenzi katika tawi la benki hiyo la New Delhi,

India, kutokana na shambulio la moyo, lililotokea mbele ya watu wote waliokuwa hapo katika chumba cha bodi ya wakurugenzi wa benki hiyo. Mkuu huyo alikuwa na tatizo hilo kwa muda mrefu ambalo siku anafariki, ilimchukua muda mfupi sana tangu alivyoanza kuwahutubia watu hao na kuaga dunia.