BREAKING : BIASHARA YA UTUMWA YATIKISA DUNIA,MASTAA WATOA NENO

Bofya Hapa

Wakati kukiwa na taarifa za kurejea kwa biashara ya utumwa nchini Libya, wasanii mbali mbali wakubwa duniani wameonyesha kuumizwa na biashara hiyo.      

Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Chris Brown, T.I, Omotola, Peter wa kundi la P Square na Vanessa Mdee. Hapa tumekuwekea kile walichokiandika kupitia kurasa wa zao za mtandao wa Instagram.

Wiki iliyopita nchi ya Ufaransa ililitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukaa kikao cha kujadili biashara hiyo. Pia ilipendekeza kuwekwa kwa vikwazo dhidi ya Libya kutokana na kuendelea kwa biashara hiyo katika ardhi ya nchi yake.