BREAKING : BIASHARA YA VIUNGO VYA MAITI YAZUA HOFU DAR

Bofya Hapa


Hofu imetanda kufuatia kusambaa kwa taarifa kuwa kunabiashara ya viungo vya maiti inayofanyika kwenye maeneo ya makaburi. Makaburi yanayotajwa ni kinondoni na sinza jijini Dar es salaam.

Taarifa hizo zinaeleza kuwa biashara hiyo inadaiwa kufanywa na wafanyabiashara kwa kushirikiana na vijana wanao toa huduma ya kuchimba makabauri katika meneo tajwa.