BREAKING : MAUWAJI YA KUTISHA MWANAUME AMNYONGA MKEWE KISHA NA YEYE KUJINYONGA

Bofya Hapa

Hekaheka ya leo imetokea Msigani Dar ss Salaam ambapo limeripotiwa tukio la kujinyonga kwenye nyumba ya jirani na nyumbani kwake na mara tu baada ya majirani kumuona na kumtambua kisha kujaribu kwenda kwake ili kumpa mkewe taarifa pia walikuta mkewe amefariki.