
MAMBO MUHIMU YANAYOTABIRI KUSHINDA AU KUSHINDWA KWA MADRID VS JUVE LEO-SHAFIH DAUDA
Dunia itasimama kwa muda ili kushuhudia fainali ya aina yake ya UEFA Champions League kati ya Real Madrid vs Juventus usiku wa leo Juni 3, […]
Dunia itasimama kwa muda ili kushuhudia fainali ya aina yake ya UEFA Champions League kati ya Real Madrid vs Juventus usiku wa leo Juni 3, […]
Rais Donald Trump ametangaza kujiondoa kwa Marekani katika makubaliano ya Paris juu ya mabadiliko ya tabia nchi.Amesema mkataba huo si wa haki na unahatarisha mamilioni […]
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger ametia saini kandarasi mpya ya miaka miwili katika klabu hiyo. Mkataba huo hautahusisha kifungu cha kupumzika na utakapokamilika atakuwa ameiongoza […]
Marekani kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuufanya majaribio mfumo wake wa kudungua makombora ya masafa marefu ICBM kulingana na maafisa. Mfumo huo wa ardhini uliwekwa […]
Korea Kaskazini imetuma kombora jingine asubuhi ya jumatatu ya leo kuelekea Japan ambalo limeishia eneo la bahari katikati ya visiwa vya sado na oki linalomilikiwa […]
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 35 aliyetambulika kwa jina la James Horner amepigwa risasi na kuuawa akiwa na mtoto wake wa miaka mitatu mkononi.Imedaiwa baba […]
Arsenal wameibuka mabingwa wa kombe la FA baada ya kuwaburuza wababe wa ligi ya Uingereza Chelsea kwa magoli 2-1. Katika mchezo huo uliochezwa katika dimba […]
Klabu ya soka nchini Uingereza Arsenal “The Gunners” kesho Mei 27, 2017 inatarajia kushuka dimbani katika mchezo wa Fainal ya FA cup dhidi ya mabingwa wa […]
Baadhi ya Picha za watu waliouawa katika mlipuko uliotokea usiku wa kuamkia jana zimetolewa na kuongeza simanzi za shambulio hilo, zifuatzao na baadhi ya picha […]
Copyright © 2018 | WordPress Theme by MH Themes