BOBI WINE ASHINDA UBUNGE

June 30, 2017 admin 0

UGANDA: Mwanamuziki Robert Kyagulanyi(Bobi Wine) ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge kupitia jimbo la Kyadondo Mashariki. – Bobi Wine amepata kura 25,659, huku Ssebalu […]