CHECK VIDEO ALICHOSEMA DOGO JANJA KWA IARENE UWOYA,AKINUKISHA TENA,AACHA GUMZO TOWN

Bofya Hapa


Moja kati ya stori zinazotrend kwa siku ya leo ya Jumapili ya December 17 2017 ni picha ya kimahaba ya muigiza Irene Uwoya ikimuonesha akiwa na mtangazaji Tbway kitandani, wote tunajua Irene Uwoya kwa sasa ameolewa na Dogo Janja, baada ya kuvuja kwa picha hiyo minong’ono imeanza kuenea kuwa inaweza kuvunja ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja.