DIAMOND PLATINUMZ AFANYA YAKE TENA KUHUSU WASAFI RADIO NA WASAFI TV

Bofya Hapa

Leo February 13 2018 kupitia instagram page ya Diamond Platnumz amezidi kutuonyesha maandalizi ya Wasafi tv na Wasafi radio hii ni baada ya kupost video ya mnara kwa mara ya pili ambao unaonekana upo kwenye maandalizi kwaajili ya Wasafi tv na Wasafi radio.

Baada ya post hiyo kupitia instagram page ya Diamond Platnumz hajaandika chochote kuhusiana na Wasafi tv na Wasafi radio. Diamond Platnumz alishawahi kupost mnara kupitia instagram account yake na wengi kutafsiri kuwa ndio maandalizi ya Wasafi tv na Wasafi radio na pia wasafi tv pamoja na Wasafi radio zitapatikana ndani ya makao makuu ya WCB.