DIAMOND PLATINUMZ AZIDIKUKINUKISHA VIBAYA MAEKANI,CHECK ALICHOFANYA LIVE

Bofya Hapa

    Baada ya kutu bless na kionjo cha ujio wa video yake mpya na Rick Ross huko nchini Marekani, Ujazo mwingine ni hii #CoverAlbum ya ujio wa Album ya #diamondplatnumz ambayo ameipa jina la #aboyfromtandale  for diamond platnumz and rick ross

Kama utakumbuka kitambo kidogo, ujio wa ngoma ambayo tumenogeshwa kionjo cha video akiwa na Rick Ross, ni moja ya ngoma ambayo @diamondplatnumz alishawahi kuitaja kwamba itapatikana kwenye ujio wa Album yake.