DIAMOND PLATINUMZ HATAKI WANAYE WAOE WANAWAKE WA AINA HII

Bofya Hapa


Leo February 22,2018 ukurasa wa instagram wa Muimbaji Staa Diamond Platnumz amepost picha ya watoto wake wa kiume Nillan na Dylan ikiwa ndio picha ya kwanza kuipost kupitia instagram account yake akiwa amewapost kwa pamoja na kuwapa onyo juu ya wanawake anaowataka wawaoe