DIAMOND PLATINUMZ NA RAY C MAPYA TENA,RAY C AFUNGUKA MAZITO,AFICHUA MAMBO

Bofya Hapa

Leo February 9, 2018 story ambayo imeshika headlines kwenye mitandao ya kijamii ni ya msanii mkongwe katika game ya Bongo Fleva Ray C baada ya kupost picha ya Diamond Platnumz na kuandika ujumbe kwa mashabiki wa muziki wanaomponda Diamond Platnumz