DIAMOND PLATINUMZ TENA,AMALIZA UBISHI,AWANYAMAZISHA WABONGO

Bofya Hapa

Mapema leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam, Jalada la madai ya matunzo ya mtoto ‘Prince Abdul’ lililofunguliwa na mrembo Hamisa Mobeto dhidi ya msanii Diamond Platnumz limefungwa rasmi.

Baada ya kufungwa kwa jalada hilo, Diamond Platnumz ametoa ushauri kwa wazazi wote kuwa wanahitaji kuweka majivuno na tofauti zao pembeni pindi linapo kuja suala la migogoro kati yao juu ya watoto kwakuwa anayeumia zaidi ni mtoto/watoto.