DONE DEAL: Arda Turan ameihama Barcelona

Bofya Hapa

Klabu ya Barcelona ilitangaza wachezaji ambao hawana mpango nao katika msimu huu wa usajili hivyo wanaweza kuondoka katika timu hiyo, miongoni mwao Arda Turan ambaye kwa sasa tayari amesajiliwa rasmi katika timu ya soka ya Başakşehir ya Uturuki Taarifa kuhusu kusajiliwa kwa nyota huyo imetolewa katika ukurasa rasmi wa Twitter wa timu hiyo ya mjini Istanbul, “Istanbul Basaksehir inathibitisha kusainiwa kwa Arda Turan kutoka Barcelona” @brfootball BREAKING: Istanbul Basaksehir confirm the signing of Arda Turan from Barcelona 🇹🇷1:55 PM – Jan 13, 2018 88 88 Replies 1,067 1,067 Retweets 2,413 2,413 likes Twitter Ads info and privacy Kiongozi wa timu ya Başakşehir amesema kitendo cha kufanikiwa kumsajili nyota huyo katika timu yake kutamfanya kuwa kinara katika Süper Lig ya Uturuki.