Familia iliyotekwa kwa miaka 5 yaokolewa

Bofya Hapa

Familia ya watu watano raia wa Marekani waliotekwa na wanamgambo waasi wa Taliban nchini Afghanistan mwaka 2012 wameokolewa na jeshi la Pakistan. Wahanga hao ni Joshua Boyle raia wa Canada na Caitlan Coleman raia wa Marekani ambao walitekwa ikiwa Caitlan ni mjamzito na wakiwa Marekani pia walizaa watoto wengine wawili. Video ya mwisho ya wawili hao ilitolewa Desember mwaka uliopita ikiwaonesha wakiomba nchi zao kuwaokoa.