HAMISA MOBETO KUPIGA MKWANJA WA AJABU,AFANYA HAYA WENZAKE WAKIHANGAIKA NA MAUWA

Bofya Hapa

Baada ya Malkia wa Bongo Muvi, Wema Sepetu, kushindwa kuendeleza biashara yake ya Lipstick aliyoianzisha na kuizindua kwa mbwembwe, hatimaye Mwanamitindo Hamisa Mobeto, ameamua kuivalia njuga biashara hiyo ambapo anatarajia kuzindua biashara yake hiyo Aprili 5, 2018.