JACKLINE WOLPER AFANYA TUKIO LA AJABU KWA HARMONIZE NA MZUNGU WAKE

Bofya Hapa

Muigizaji wa filamu Bongo ambaye kwa sasa ni mbunifu wa mavazi Jacqueline Wolper amekiri kutokuwa na wivu na aliyekuwa mpenzi wake (ex-boyfriend) wake ambaye ni mwanamuziki kutoka kundi la WCB Harmonize na Kuwakaribisha katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Katika kuelekea birthday part ya wolper itakayofanyika leo decemba 7 ameamua kuudhihirishia umma kuwa hana wizu na wa kimapenzi na mpenzi wake wa zamani ameamua kumualika harmonize pamoja na Sara katika part hiyo. Wolper aliongeza kuwa amemtaka Sara kuwa rafiki yake na kumsaidia kumpa siri na nyendo za kuchepuka Harmonize.