JACKLINE WOLPER AWASHA MOTO TENA,AWASHUKIA WANAUME WA BONGO,ARUSHA KIJEMBE

Bofya Hapa

Leo February 13,2018 nazidi kukusogezea karibu stories zilizochukua headlines kupitia mitandao ya kijamii ambapo kwenye upande wa instagram muigizaji Jacquline Wolper amewaponda wanaume wanaotegemea wanawake kupata kipato au fedha.

Kupitia instagram account ya Jacquline Wolper amepost video ya mchekeshaji Wakuvanga au Mama Atupele na kuandika caption “Naomba mjifunze kitu wanaume wadangaji, mnadangwa au unadanga mwisho wa siku unageuka houseboy kwa unayoenda kupambana nayo..sio kila unachoona kipo kama unavyoona

Haya katarina njoo hapa” Kutokana na caption hiyo ya Jacquline Wolper wengi wameitafsiri kuwa ni somo kwa wanaume wanaotegemea kila kitu kutoka kwa wanawake na kila wanachokiona sio kama kilivyo.