JACKY WOLPER AZIDI KUTIKISA WANAUME,MWINGINE AIBUKA NA KUIBUA MAPYA LIVE

Bofya Hapa

        Msamii amedai kuwa hamfahamu kabisa mwanaume anayeitwa Brown anayedaiwa kutoka kimapenzi na mrembo huyo bali anamfahamu ex wake wa WCB Harmonize. “Simfahamu Brown namjua Wolper,” amesema msanii huyo ambaye akaongeza kuwa

Mimi najua kuhusiana na Harmonize tu.” “Wolper ni msichana mzuri akiniambia ananipenda why not, Mimi sipendi mambo ya kutumia ma-DM nini yani kama nampenda nitamfuata tu moja kwa moja kwa sababu najua anapopatikana