JENGO LA WCB WASAFI RADIO /TV LAZIDI KUWA GUMZO MTANDAONI ,MAPYA YAZIDI KUIBUKA LIVE

Bofya Hapa

Dalali aliyempangisha @diamondplatnumz aibuka na Kuweka wazi kuwa Jumba hilo la kifahari Diamond amelipia kodi ya zaidi Ya Mwaka mmoja… Sambamba na Hilo ameomba watu waache kumpigia simu kuhusu kuhitaji nyumba hiyo au kutaka kujua zaidi kuhusu jengo hilo. . @dalalikiongozi Kupitia ukurasa wake wa Instagram Amefunguka Hayo.