Jibu la Nikki wa Pili iwapo Joh Makini atakuja na bidhaa za kondomu

Bofya Hapa

            Nikki ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Kihasa’ amesema kuhusu ujio wa bidhaa hizo bado mazungumzo yanaendelea ila kitu ambacho kipo. “Ile ni biashara ya Joh Makini sitaki kuizungumzia ila nachoweza kusema ni kwamba kuna watu ambao wapo, wapo katika mambo ya testing,

 

Nikki ameiambia Bongo5. “Wakifanikiwa na kukidhi vigezo vyote Joh Makini atakuja public, bidhaa zake zitakuja public lakini kwa sasa wapo kwenye meza wanafanya kazi,” ameongeza.  Iwapo dili hilo litafanikiwa Joh Makini ataungana na wasanii Bongo Flava kama Diamond, Jux, Shetta na wengineo kutangaza bidhaa zao.