JPM AWASILI ZANZIBAR KUADHIMISHA NYERERE DAY NA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE

Bofya Hapa

        Rais Magufuli leo Oktoba 12, 2017 amekwea pipa na kwenda visiwani Zanzibar akiwa na mkewe Mama kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo Rais Magufuli anategemewa kuwa Mgeni Rasmi siku ya kilele cha Mwenge wa Uhuru Oktoba 14, 2017 Uwanja wa Amaan.