KANE AIBUKA KIDEDEA

Bofya Hapa

Mtanange wa ligi kuu nchini Uingereza jana umefikia tamati,huku kiungo Wa Tottenham Harry Kane akiwa kwenye furaha ya kuibuka mfungaji bora.

Katika mechi ya Jana Kane aliweza kupachika mabao 3 katika kipindi Cha kwanza dhidi ya Hull city ambapo kwa ujumla timu yake ilishinda kwa mabao 7.Hivyo basi kaweza kujishindia kiatu cha dhahabu na kuweka rekodi katika msimu huu uliomalizika Jana.