LULU AKIFIKISHA SIKU 61 GEREZANI,IDRISS SULTAN ATOA KAULI,AFUNGUKA TENA

Bofya Hapa

Moja kati ya habari zilizoshitua wengi mwishoni mwa mwaka 2017 ni pamoja na habari za muigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake marehemu Steven Kanumba.