MAENDELEO YA MAJERUHI WA LUCK VICENT

Bofya Hapa
Mtoto Doreen akiwa na madaktari wake

Madaktari wa Mercy hospital kutoka nchini Marekani wamesema maendeleo ya watoto wote watatu Wilson, Doreen na Sadia walionusurika katika ajali ya Luck Vincent wilayani karatu, mjini Arusha yanaendelea vyema.

Mtoto Doreen akiwa na madaktari wake

Pia maandalizi ya awali ya kuwapeleka ”special rehab”,au makazi maalum kwa ajiri ya uangalizi Wa karibu Wa afya zao na kufanyiwa mazoezi yameanza, ingawa wataendelea kuwa katika wodi ya watoto Mercy hospital kwa sasa hadi madaktari bingwa watakapojiridhisha na Hali zao.