MAMA KANUMBA AMLIPUA VIBAYA AFANDE SELE,AMJIBU LIVE

Bofya Hapa

Mama Kanumba amjibu Afande Sele ? baada ya msanii huyo jana kuandika kuhusu Lulu na Kanumba. Page moja Instagram yenye jina la Mama Kanumba(Bi.Flora Mtegoa) imeandikwa hayaWewe kijana ni mnafiki sanaa sijawahi ona. Yani tangu utunukiwe hilo taji la ufalme wa rhymes umekua unaliongelea miaka yotee kama ulishinda u-miss TANZANIA vile na ukatuwakilisha nchi nzima ughaibuni.

                       Kama hukutaka kufika msibani kwa roho yako mbaya ni vyema ugeendelea kukaa kimya na sio kuja kuongelea sasa tena katika kipindi hichi kigumu ambacho sisi kama familia tunapitia .Hakika kwa hayo matamshi yako yanaonesha wazi ni dalili ya kushindwa kukaa na unafiki wako rohoni. Kijana ningekupa somo jema kuwa kwa namna yoyote hile marehemu hua hasemwi. .

 

Au nawewe tusijekukusindikiza katika safari yako pale Mwenyezi Mungu atakapokuchukua sababu ulimpiga na kumjeruhi mtaani RAIA hasie na hatia kule ZANZIBAR mpaka ukafukuzwa jeshini?”Hata hivyo haijajukikana Kama kweli page hiyo ni ya mama Kanumba and kaandika mwenyewe, au ni page yake kweli but kuna mtu ana muandikia, au sio page yake hahusiki nayo kwasababu kutokana na posts nyingine za hiyo page inakuwa pia vigumu kujua kuwa ni mama Kanumba kweli au sio yeye