Maneno ya Mwigulu Nchemba Baada ya Nabii Tito Kukamatwa na Polisi

Bofya Hapa

Mchana wa leo January 23, 2018 Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi mmoja wa Dodoma Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito, ambaye amekuwa akionekana mitaani kuhubiri huku akiwa anakunywa pombe hivi sasa maelezo yake yanachukuliwa .

Kupitia ukurasa wake wa instagram Waziri wa Mambo ya Ndani Dr. Mwigulu Nchemba amesema ni kwa tuhuma za udhalilishaji, Namnukuu Dr. Mwigulu >>>

Udhalilishaji wa aina yoyote ile haukubaliki(Kijinsia,Dini n.k)”