MBUNGE NAPE NNYAUYE ASEMA NIKUKOSEA USINIJIBU KWA KUNITOLEA BASTOLA

Bofya Hapa

                                Mbunge wa jimbo la Mtama. Mhe Nape Nnauye amefunguka kwa mara ya kuwa viongozi wa vyama vya kisiasa lazima wawe wavumilivu pale wanapokosolewa na sio kutumia nguvu ili kuwatisha wakosoaji.

 

Nape amesema kwa sasa ni muda wa wanasiasa kujifunza kushindana kwa hoja na sio kwa kutumia nguvu za vitisho kwa kushikiana bastola. wigulu “Kwanza wanaosema wanahofu ya kuzungumza ukweli ni udhaifu wao wenyewe, mbona mimi nasema na wapo Wabunge wengi wanasema, Tusiruhusu dhana hii ijengeke tutaua demokrasia yetu…

 

Na kubwa kabisa kuhusu demokrasia ni watu kuvumiliana leo nikikukosoa usikasilike na kuinua bastola njoo na hoja, tushindane kwa hoja,“amesema Mhe. Nape Nnauye kwenye mahojiano yake