HAYA NDIYO MAPYA ALIYOYAFANYA NAPE JIMBONI KWAKE

Bofya Hapa
Nape katika picha

Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametekeleza ahadi yake ya kutoa gari jipya la kubeba wagonjwa kwa wananchi wa jimboni kwake Mtama. Ikiwa ni sehemu moja wapo ya kutumikia wananchi Wa jimboni kwake katika harakati za kuleta maendeleo kama alivyoahidi kwenye kampeni zake wakati Wa uchaguzi

Nape katika picha

”Niliahidi nimetekeleza, gari jipya la wagonjwa kwa Tarafa ya Nyangamara Jimboni Mtama”. Aliandika Nape kupitia ukurasa wake wa Twitter.