MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU, AWAPIKU ZARI NA HAMISA

Bofya Hapa

Kusema kweli Wema kajua kunoga, hivi alikua anafanya makusudi au alikua anategea kiki? Kusema kweli page ya wema ilikua haina mvuto, especially picha anazopost ukilinganisha na mastaa wengine kama zari, lulu, hamisa na Tunda, yani alikua anajipostia tu picha utadhani akina Rachel dangwa.

Safari hii naona wema kaamua kurudi kwenye level zake, Safi sana mama ubaya, kwa uzuri tu inshallah uliumbwa, kazana tu kupigania jina lako ambalo lilikua linakosa mvuto siku za hivi karibuni, hata kama huna IPhone 7 ,jitahidi uazime simu au utafute ma camera man wazuri, picha zako kwa kweli insta hazivutii tofauti na hii, yani hapa si hamisa, wala zari, hawafui dafu, kazana mama ngina, warumi nakusapoti