MAUAJI MAPYA KIBITI.

June 28, 2017 admin 0

Watu 2 wanahofiwa kuuawa kwa kupigwa risasi katika kijiji cha Mangwi wilayani Kibiti kuamkia leo, Kamanda Lyanga asema wanafuatilia tukio hilo.