PAPII KOCHA AWATOA WATU MACHOZI ,NGOMA YAKE MPYA YATIKISA JIJI

Bofya Hapa

Msanii wa muziki wa ‘Papii Kocha’ ambaye alikuwa amefungwa kwa zaidi ya miaka 13 jela ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Waambie’ ambao umewaliza baadhi ya watu kutokana na mambo ambayo ameyaimba ndani ya wimbo huo. 

Wimbo huo wa Papii Kocha umeandikwa na mwanadada Natasha na kutengenezwa na mtayarishaji wa muziki wa bongo fleva Ema The Boy na video yake kutengenezwa na Wanene Studio.