RAIS MAGUFULI AWASILI DODOMA

Bofya Hapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli awasili mjini Dodoma leo, ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru yatakayo fanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.