RAIS TRUMP ASHUTUMIWA KWA KUWATUKANA WAAFRIKA KWA MANENO YA KIBAGUZI

Bofya Hapa

Marekani amewashutumu wahamiaji wanaoingia nchini humo kwa kutoa maneno yanayosemekana ni matusi akiwa katika ofisi yake ndani ya Ikulu ya Whitehouse. Gazeti la The Washington Post limemnukuu Rais Trump siku ya alhamis akiongea na Wabunge ”Kwa nini tunawaruhusu watu hawa kutoka mataifa ‘machafu”

Tamko hilo limedaiwa kuwalenga watu kutoka Afrika, Haiti na El Salvador. Ikulu ya Whitehouse haikukana tamko hilo ambalo lilithibitishwa na vyombo vingine vya habari.

Wanasiasa fulani wa Washington wanapenda kupigania mataifa ya kigeni, lakini rais Trump atawapigania raia wa Marekani pekee,”– Msemaji wa Ikulu ya Marekani Raj Sha.