ROBOTI (SOPHIA) MAARUFU KUWA NA SIFA ZA BINADAMU ATAMANI KUZAA WATOTO

Bofya Hapa

Roboti Sophia (kushoto) ambaye amekuwa maarufu kutokana na kuwa kama binadamu, amesema anatamani siku za baadaye aje kuwa na watoto wake. Je? una maoni gani kwa vioja hivi, huko tunako elekea kweli ni salama jamani au ndio kumkufuru Muumba tu. Maana hadi maroboti yanatamani kuzaa Binadamu, weka maoni yako hapo chini ili tubadilishane mawazo katika hili.