SHILOLE NA UCHEBE WAFIKA PABAYA SASA,CHECK WALIVYOFANYIANA KITU MBAYA

Bofya Hapa

Leo March 13,2018 kupitia instagram account ya Uchebe amepost ua jeusi ambalo linatafsiriwa kuwa kuna doasari katika ndoa yake na Shilole hii ni kutokana na tettes kunenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa ndoa hiyo ina dosari.