SHILOLE SHISHI BABY KIMENUKA,MAMBO NI MOTO HUKO MTANDAONI

Bofya Hapa

Ukipita katika Instagram page ya mume wa msanii wa filamu na muziki Bongo Zuwena Mohamed ‘Shilole’ utakutana na ua jeusi ambalo hutumika kutangaza kuvunjika mahusiano.

Uchebe ambaye alifunga ndoa na Shilole mnamo mwaka 2017 na harusi yao kufanyika Januari 15 mwaka huu ameandika maneno yanayosomeka “Mfugaji hanakipaji chaufugaji katika mtandao huo wa kijamii huku ua jeusi likionekana.

Siku moja kabla Shilole alitumia alidai kuwa anamengi ya kuongea kutokana na muonekano wa picha aliyoweka. Hata hivyo baadhi ya maoni yamedai kuwa wawili hao wanatafuta kiki na sio kweli.