SNURA MAJANGA NA NISHA MAPYA TENA,SAKATA LA KUIBIANA BWANA NISHA AJIBU MAPIGO,AFUNGUKA LIVE

Bofya Hapa

Msanii wa filamu bongo Salma Jabu, Nisha amesema kuwa kutokana na madai yaliyopamba moto kwamba msanii mwenzake Snura Mushi amemkwapulia mwandani wake anayejulikana kwa jina la Minu, kamwe hawezi kuliongelea jambo hilo. baada ya mwanadada Snura kukanusha ishu hiyo na kusema kuwa alifahamiana na Minu baada ya jamaa huyo kupewa namba na Nisha mwenyewe kwa kuwa alikuwa amemtungia nyimbo, alisema kuhusiana na hilo hana chakuongelea kwa kina. sina cha kusema juu ya hilo, kwangu ni sawa tu, awe wake asiwe wake kwangu ni sawa tu”.