SHILOLE NA UCHEBA KUMEKUCHA,UCHEBE AFUNGUKA SHILOLE KUZAA MAPACHA

Bofya Hapa

Ujumbe wa Mume wa Zuwena Mohamed Shilole kupitia ukurasa wake wa instagram Official Uchebe huu hapa jamani nna furahaa sanaa sanaa sana mke wangu ana nizalia soon zuwena wangu mimi baada yakumbembeleza sana mimba yangu asiitoe maana alikuwa ana bisha hataki kuzaa eti yuko busy. Sasa amekubali kui take care na clinc anaenda i love you mke wangu sasa najua kipo chaku tuunganisha kwasasa mimi na wewe kuniacha ni ngumu manaa huwezi. kubali mtoto wako akose malezi ya baba nilisali sana kuilee hii mimba nimefurahi kwa hii utra sound mke wangu Kwasasa unabidi upige kazi usiku na mchana u save hela ili ukifika miezi 7 upumzike na tuwe na hela ndani zakutulisha mke wangu maana ukijilegeza na kuanza kuwa mvivu hapa mwanzo mwanzo tutakosa hela ya kula uko mbeleni mke wangu na si wajua mmeo mungu hajanijalia.. sitaki ndugu zako waseme si tulikwambia nakupenda mke wangu mchapakazi.