TAARIFA MPYA YENYE UJAZO KUHUSU UGOMVI WA BIRDMAN NA LIL WAYNE,RICK ROSS AHUSIKA

Bofya Hapa

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu na madongo mengi kuhusu kushindwa kulipa pesa za Lil Wayne anazodaiwa, BirdMan ameamua kufunguka na kuwachana watu wote ambao wanasema kwamba yeye hawezi kumlipa Lil Wayne.

Birdman and Lil Wayne
Sasa Kupitia Live Instagram katika kurasa yake, Mzee Mzima Bird Man aliwaweka watu ukweli ya kwamba, Lil Wayne ni Mwanae na amemlea tangu kipindi hiko, na wala hakuna ugomvi kati yao, kinachotakiwa ni kwamba mashabiki waache kuleta zogo ambazo hazina ukweli kama yeye na Wayne ni wanaugomvi

I’ma show all you pussy ass ni as that ever got in my business,” he said. “Fuck ya, ni**a. I’ma show you don’t play with me, ni a. I’m what you call a fuckin’ real mastermind, you lil’ bitty bitch. You heard me? And if you cross my line, you already know, I ain’t even gotta tell ya. You know what type of ni**a I am. That’s how it is. Fuck ya, ni**a. Tear ya ass up, playing with me and mine.

WORLDSTARHIPHOP @WORLDSTAR
Birdman got something to say to those who keep saying he should pay Lil Wayne…thoughts?  @Birdman5Star @LilTunechi
5:12 PM – Oct 11, 2017
140 140 Replies 608 608 Retweets 1,206 1,206 likes
Twitter Ads info and privacy
Nyuma kidogo rapper Lil Wayne alishawah kufunguka kuchoshwa na mbishe zinazofanywa na Bird Man, kwanza alizuia album yake kutoka kwa mashabiki zake pili alikuwa anamdai pesa nyingi, Ukiachana na hilo, Rapper Rick Ross alishamchana Bird Man kwenye ngoma Rivals become Idols kwa mambo mengi ambayo Bird Man ameyafanya mpaka kusababisha Dj Khaled kuondoka bila kulipwa hela yake.
Wakati hayo yakitokea Rapper @richforever aamua kumchana #birdman kwamba aache mambo ya kutania watu, lazima atoe pesa amlipe Lil wayne.
Ishu hii imekuja baada Birdman kutumia kurasa yake ya Instahram kwenda Live kusema kwamba Yeye na Lil wayne, hawana ugomvi na watu wasikae kuchochea ugomvi kutokana na kwamba #lilwayne ni mtoto wake.