TASWIRA YA MSIBA WA DOGO MFAUME KATIKA PICHA

Bofya Hapa

KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi ya Dukani kufariki dunia juzi Mei 17, 2017, mwili wa marehemu unatarajiwa kuzikwa leo .

ifuatayo no taswira ya msiba katika picha:

mwili wa marehemu ukiingizwa ndani
wafiwa wakiwa msibani

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.