TOTENHAM YAIVURUGA LEICESTER 6-1, ARSENAL NJE NNE BORA.

Bofya Hapa

Timu ya Totenham Hotspur hapo jana imeivurumisha Leicester city kwa magoli 6-1 na kuweka vizuri matumaini ya kubaki nne bora huku Arsenal ikionekana kutegemea miujiza ya Liverpool kupoteza mchezo wa mwisho na yenyewe kushinda ili kurudi nne bora. Arsenal kwa sasa ipo nafasi ya tano ikiwa na pointi 72 na kubakiza mchezo mmoja tu mkononi wakati mshindani wake katika nafasi ya nne Liverpool ana pointi 73.